Monday, May 23, 2016

MWANDISHI WETU:- Le Mutuz Nation The King Of All Bongo Social Media Network wikiendi hii alikuwa Mwanza kikazi kuripori Jembeka Festival kwenye vyombo vyake vya Social Media kwa niaba ya Vodacom, lakini alionekana akivinjari na Wasichana 2 warembo sana kwa nyakati tofauti kati ya Jumamosi na Jumapili. Warembo hao kwa majina Super Model Natalie na Doreen kila mmoja alionekana kuwa na ukaribu sana na The King kwamba hata Mastar wengine walipojaribu kuwasogelea haikuwezekana kabisa. Kwenye Show Kirumba Stadium Le Mutuz alionekana muda mwingi akiwa Doreen lakini baadaye kwenye after Party Malaika Hotel Le Mutuz ambaye alipotea na Doreen kwa muda mrefu aliibuka tena akiwa Mrembo mwingine Super Model Natalie, kitendo hicho kiliwaacha Mastar wengi waliokuwepo kwenye party hiyo kumuangalia King huyo kwa jicho la husuda sana. Hata hivyo alipoulizwa na Radio Jembe FM kuhusu suala zima la yeye na warembo hao Le Mutuz alijibu kwamba "They are just friends" na kuwafanya hata watangazaji hao kubaki na mshangao. Lakini siku ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza Le Mutuz tena akawashangaza Celebrities kama Diamond kwa kujitokeza kusindikizwa na Mrembo Doreen.

Le Mutuz Nation akiwa na mrembo Super Model Natalie








Le Mutuz Nation at the Malaika After Party for Celebrities only alipotokea na mrembo Super Model Doreen


Le Mutuz at Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipojitokeza na Mrembo Doreen live na kumuacha mpaka Mwanamuziki maarufu Duniani Diamond Platnumz akiwa na mshangao mkubwa!!







0 comments:

Post a Comment