Monday, May 16, 2016

 Morning Guys sintachoka kuelimisha watumiaji wa Instagram last time kulikuwa na Mtukanaji anayetumia picha ya Mama Mmoja very decent na asiyehusika kabisa na ujinga ujinga alinitukana nikamuanika hapa na within 5 minutes Mama mwenye picha hasa akajitokeza now guys naomba kuwakumbusha tena kuwa muangalifu na account yako na picha na majina unayotumia humu Instagram cause unaweza kukutwa na matatizo sio YAKO...Leo tuna ishu mpya tena hao kwenye picha ni watu Wawili tofauti lakini huyu wa kulia ndiye anayejiita "SHILOLEKIUNO_OFFICIAL" na kutukana watu sana humu Instagram lakini anatumia details zote za huyu kijana wa kushoto ambaye hahusiki kabisa inawezekanaje? ...Namba ya Simu inayotumika ni ya Kijana wa kushoto lakini imesajiliwa kwa jina la Mwanamke AZIZA MUSTAFA na Kijana wa kushoto ni mfanyakazi wa Tigo kimetokea nini mpaka huyu mtukanaji akaishia kutumia details za huyu wa kushoto HAYO NI MASWALI unahitaji kuwasaidia Polisi kuyajibu? ni maSWALI huyu kijana wa kushoto anatakiwa kutafuta majibu yake kwa sababu kama angekuwa ANATAFUTWA NA POLISI huyu kijana wa kushoto angechukuliwa na kuingia matatizo mpaka baadaye sana ndio wangekuja kugundua kuwa sio yeye ....guys kuweni makini na account zenu humu Instagram au popote kwenye Social Media Uzembe wako wa kutochunga account yako UTAKUGHARIMU BURE kama kuna mtu anatumia details zako do something about mapema hata ikibidi toa ripoti Polisi kwamba kuna mtu anatumia details zako za simu ...ninamuomba sana Kaka wa kushoto ajikite kwenye kutafuta kujua kwa.nini huyu kijana wa kulia amaefanikiwa kutumia details zake huku akiwa sio yeye nankuanza kutukana watu humu Instagram? Cause account inaonyesha ilifunguliwa kama@magulalucas4real then nikawa@princemagula mpaka now ni@shilolekiuno_official na kuanza kutukana watu usiowajua je ilitokeaje mpaka kufikia HAPO NI maswali huyu kijana wa kushoto anatakiwa kuyajibu .....guys naomba kuwakumbusha tena chunga account YAKO NA chunga simu yako Mara nyingi nakumbuka kusikia mtumzima akisema simu yangu nilimpa Rafiki yangu hahaha guys kuwa muangalifu na simu yako usimuamini mtu na simu YAKO! Thanks! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment