Monday, May 23, 2016

Waziri wa habari,utamaduni,sanaa na Michezo,Mh Nape Nnauye akimpongeza Msanii mahiri wa Bongomuvi hapa nchini <a href='/wemasepetu' target='_blank'>@wemasepetu</a> kwa kuzidundua huduma ya WEMA SEPETU MOBILE APLICATION,ambayo itakuwa ikijumuisha kazi zake zote zitakazokuwa kwenye mfumo wa teknolojia ya kisasa kabisa kupitia simu za mikononi. <a href='/tag/JestinaGeorgeBlog' target='_blank'>#JestinaGeorgeBlog</a> <a href='/tag/DiasporaBlogger' target='_blank'>#DiasporaBlogger</a> By <a href='/michuzijr' target='_blank'>@michuzijr</a>

0 comments:

Post a Comment