Thursday, May 19, 2016

indexWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wawekezaji wanaokusudia  kuanza uwekezaji katika  mgodi  wa Mchuchuma  na Liganga  pamoja na viongozi wa  NDC ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa NDC, Dkt. Chrisant Mzindakaya.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment