Monday, May 23, 2016

Waziri  wa  kilimo , mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba  akipokelewa na  wananchi wa  kata ya Tulia jimboni kwake  Iramba jana
Waziri Mwigulu  akilakiwa na  wapiga kura  wake wakati wa mikutano yake ya kuwashukuru
Waziri Nchemba  akiwapungia mikono wananchi wake
waziri Nchemba  akiteta jambo na mmoja kati ya  walemavu katika  kata ya Tulia jimboni Iramba
Waziri wa  kilimo ,chakula na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba  akitangaza  kuwasimamisha kazi viongozi wa bodi ya maji Mingela Iramba  kwa ufisadi wa mamilioni ya maji

0 comments:

Post a Comment