saa saba mchana hapo chuo kikuu dodoma kwenye mlima maarufu
uliopo karibu na jengo la CHIMWAGA uitwao mlima chimwaga kumetokea ajali
mbaya ya gari la abiria baada ya kushindwa kupanda mlima,chanzo kamili
cha ajali bado hakijapatikana.kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba watu
takribani kumi na sita hali zao si nzuri na wamekimbizwa kwenye hospital
ya mkoa wa Dodoma GENERAL,taarifa kamili juu ya habari hiyo endelea
kuwa nasi.
Saturday, June 4, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment