Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 01, 2016
Kiki
ndio kila kitu hapa mjini, wasanii na watu wengi hapa Bongo wamekua
maarufu kutokana na Kiki au Skendo zinazosambazwa kuwahusu wao.
Wapo
waliofanikiwa hadi maisha yao kua mazuri kutokana na kiki au skendo
wanazojizushia ili wajulikane na watu.
0 comments:
Post a Comment