- Last Week kulikuwa na mashambulizi makubwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa Mke wa Zamani wa Le Mutuz Nation akimtumia Mange Kimambi
ambapo mwanamama huyo alifikia hatua mpaka ya kumpa Mange Copy ya Passport ya Baba watoto wake kusudi aweze kumtukana kwa ushahidi. Moja ya mashmbulizi hayo yalikuwa ni Nyumba na Shamba Kinyerezi ambayo Mwanamama huyo alidai kwamba ni yake na shamba lilikuwa ni la Mama yake na sio Le Mutuz. Jana mchana kwenye Instagram yake Le Mutuz alionekana akiwa Shambani huko ambako alipost picha za kula madafu lakini baadaye alipost picha sehemu mbali mbali akitangaza kuliuza Shamba hilo na Nyumba, Blogu ya Wananchi ilikwenda kumtafuta Le Mutuz kutaka kujua kinachoendelea na hii ishu, na haya ndio majibu yake:-
"Bwana Muandishi mimi huwa ni mtu wa kutulia sana huwa sina mattaizo na watu mpaka ninapochokozwa, matusi ya my ex kuhusu hili Shamba na Nyumba yamenishangaza sana kwani anajua fika kwamba Shamba ni langu makaratasi ya kulinunua Mwaka 1995 ninayo, na anajua kwamba ninayo Hati ya nyumba kwa jina langu pia. Sasa kitendo chake cha kumtumia Mange kunitukana tena kwa ajili ya jasho langu imenishitua sana kwa hiyo nimeamua kumaliza chapter kabisa kwa kuliuza na kuuza nyumba pamoja kwa sababu ni vyangu na tayari nilikuwa na wanunuzi toka siku nyingi sana ila nilikuwa sijaamua what to do ila sasa nimeamua kuliuza ili kuweka nguvu yangu kwenye Shamba langu Mbweni ambako ninajenga nyumba nyingine mpya, at one point nilitaka kumpa mchumba wangu wa sasa nikaona inaweza kuleta vita ila dawa ni kuliuza nimeamua na by next week nitakuwa nimeshaliuza. Ninataka my ex awe akikumkumbuka Mange mshauri wake atakuwa akilia machozi. And I hope Instagram sasa itamsaidia na haya."


0 comments:
Post a Comment