Thursday, June 30, 2016

PRAY FOR HAMISSA n LULU

Wajamenii mimi napenda tu kuongelea hili jambo kwa ufupi,Hamisa wewe si wa kwanza na wala si wa mwisho kuachana na mtu,najua inauma but let it go,ure young n beautiful too,acha kuandika magazeti Instagram inaonyesha kwajinsi gani unavyoumia plz do not.... achana na makundi ya ajabu ya kukushawishi fanya hivi fanya vile,kuwa na akili zako lea mwanao hicho ndio kitu muhimu...usimuonyeshw mtu kuwa uko jappy n yet ure not, yre pics zinaonyesha kwajinsi gani ulivyokuwa desperate ,acha kuishi kimaigizo igizo humu act mtu bali ni wewe mwenyewe.... halafu jua unamchoresha baby dad wako,kuna watu wana matatizo kukushinda na wametulia kimya hizo kikii unazozitafuta n three years utajutia.

I love u both

0 comments:

Post a Comment