Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 14, 2016
 |
"Lipumba Atafute Uenyekiti Katika Chama Kingine,Siyo CUF.Anaweza Baki Mwanachama wa Kawaida Akipenda" Maalim Seif, Katibu Mkuu wa CUF, Washington,USA.
|
 |
| Professor Lipumba siku Lowassa alipojiunga rasmi na UKAWA. |
Maalimu Seifu asante sana. Huyu LIPUMBA ni TRAITOR ni asikubalike kurudi CUF tena kwa sababu atawasumbueni na atatafuta njia mmbadala za kuwakwamisheni katika juhudi zenu. Msimuruhusu kurudi CUF kamwe! Aende huko CCM. Sasa hivi CCM wanamtuma tena kuja kufanya upelelezi huko CUF.
ReplyDelete