Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 02, 2016
Mwigizaji
Aunty Ezekiel amesherekea mwaka mmoja wa kuzaliwa kwa mtoto wake
Cookie, kwenye interview hii Aunty Ezekiel kazungumzia jinsi Dancer wa
Diamond Platnumz, Mose Iyobo alivyo na nafasi kubwa kwenye maisha yake
tofauti na wanaume wengine aliowahi kuwa nao kipindi cha nyuma.
0 comments:
Post a Comment