Saturday, June 4, 2016

Baada ya kambi ya WCB kuonekana wasanii wake wanapenda kutoka kimapenzi na wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao, uongozi wa kambi hiyo umelizungumzia swala hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii, Mmoja kati ya viongozi wa juu wa kambi hiyo, Babu Tale, amesema ni bahati kwa wasanii wake kupata wanawake waliowazidi umri. 


BOFYA HAPA KUONA VIDEO TALE AKIFUNGUKA LIVE

1 comment:

  1. Mtume Muhammadi alimuoa bi Khadija. hakuzini wala kuzaa nae mtoto wa nje.Tale usifananishe uzinzi na Dini ya Kiislam, PUMBAVU!

    ReplyDelete