Kwa
sasa Shilole na Nuh mziwanda washatemana na kila mtu ana mpenzi wake,
huku Nuh akiwa kattutambulisha mrembo mpya na kukiwa na skendo kua
Shilole katemana na Nedy. Basi kama mtakumbuka vizuri siku chache baada
ya Shishi na Nuh kutemana walikutana katika Interview Clouds Tv na
mwisho wa siku waliishia kupigana.
Imepita miezi mingi sasa wawili
hawa hawajakutana tena mpaka juzi hapa walipokutana tena Clouds Fm
katika kipindi cha XXL. Kizuri ni zamu hii hawajagombana ila kumetokea
jambo moja lakushangaza zaidi pale walipokua wakiulizwa maswali na
BDozen. Hebu cheki video hii kisha niambie ni nani muungwana zaidi kati
ya Shilole na Nuh??
0 comments:
Post a Comment