Moja
ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni
kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo
watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za
gharama.Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu
sana ila kwa star kama Wema Sepetu ni jambo la kawaida sana. Akihojiwa katika EFM Radio Wema Sepetu alifunguka kua kwa kila siku anayotoka vitu anavyovaa gharama yake ni kama milioni 2 za kitanzania.
0 comments:
Post a Comment