Tuesday, June 14, 2016

                              
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz.


Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana wa leo..... 
Ikumbukwe kwamba Chid Benz alikuwa Sober House Bagamoyo kwa uangalizi maalumu ili aweze kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya,ambapo baadae ilisema babu tale alimtelekeza na mwishowe Chid kutoroka,kashfa ambazo zilikanwa vikali.

1 comment:

  1. yani mmemchukua huyo jamaa mbwiaji , mi nashauri kuweni na kamati maalum ya maamuzi sio mnakutana kijiweni alafu , mnaanza kushauriana kwa kuoneana huruma.., eti tumchukue fulani kwa kumsaidia,

    ReplyDelete