@JAMANI NAWASHUKURU SANA NDUGU ZANGU kwa all the LOVE and SUPER SUPPORT nimewasoma wote kila mmoja kwa comment na jina NAWASHUKURU SANA .....ni kwamba I am the Only Child of Marehemu Mama Yangu so this is my Cross na as a Man NIMEKUBALI NI KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA......SO kesho nitaondoka Asubuhi sana na ndege ya kwanza na mchana wa kesho itakuwa ni misa ya kumuombea Mjini Tunduma na jioni ya kesho tutamzika huko Tunduma.....na JUMAMOSI TAREHE 25/6/2016 Nitamfanyia MISA MAALUM at Azania Front Church kuanzia Saa SITA MCHANA mpaka SAA SABA MCHANA.......NINAWAKARIBISHA WOTE PLEASE NA AGAIN NINAWASHUKURU SANA!! - le Mutuz Nation
Sunday, June 19, 2016
Posted by Williammalecela.com on Sunday, June 19, 2016
1 comment
@JAMANI NAWASHUKURU SANA NDUGU ZANGU kwa all the LOVE and SUPER SUPPORT nimewasoma wote kila mmoja kwa comment na jina NAWASHUKURU SANA .....ni kwamba I am the Only Child of Marehemu Mama Yangu so this is my Cross na as a Man NIMEKUBALI NI KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA......SO kesho nitaondoka Asubuhi sana na ndege ya kwanza na mchana wa kesho itakuwa ni misa ya kumuombea Mjini Tunduma na jioni ya kesho tutamzika huko Tunduma.....na JUMAMOSI TAREHE 25/6/2016 Nitamfanyia MISA MAALUM at Azania Front Church kuanzia Saa SITA MCHANA mpaka SAA SABA MCHANA.......NINAWAKARIBISHA WOTE PLEASE NA AGAIN NINAWASHUKURU SANA!! - le Mutuz Nation
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Pole sana kaka kwa kuondokewa, mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu na amlaze pema peponi marehem Amin.
ReplyDelete