Wasanii
wa kitambo kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Mabaga Fresh wakifanya yao
kwenye jukwaa la Komaa Concert ambao walitamba na ngoma zao zikiwemo
Tunataabika na Mtulize.

Mmoja kati ya wasanii waliokuwa wanaunda Kundi la Watu Pori, Mc Koba akifanya yake kwenye steji.
Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah akikamua.
Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki waliofurika kupata burudani.
Snura akikamua stejini.
Picha na Hilaly Daud / GPL
0 comments:
Post a Comment