Friday, June 10, 2016

The King Of All Bongo Social Media Network Le Mutuz Nation hatimaye inasemekena amenasa kwa huyu mrmbo Super Model Lamoda wa Sinza ambako The King amekuwa akionekana sana kwenye mitaa ya huko na mrembo huyu anayetikisa sana sasa hivi kwenye tasnia ya Ulimbwende. Haijafahamika kama Le Mutuz ana mpango wa kumuoa mrembo huyu ambaye ameandika kwenye Instagram yake kwamba yupo tayari kuwa mke wa The King. Juhudi za kumpata Le Mutuz mwenyewe kuhusu hii ishu hazikufanikiwa hakupokea simu yake.













0 comments:

Post a Comment