Leo June 22 Aliyekua Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kovaameagwa rasmi kwenye viwanja vya Chuo cha mafunzo ya taaluma ya Uaskari Moshi (MPA) zamani kilikua kikijulikana kwa jina la CCP.
Kamanda Kova alihamia Dar es salaam mwaka 2008 akitokea mkoa wa Mbeya ambapo December 31 2015 alistaafu rasmi kulitumikia jeshi la polisi,mafanikio yanayosemwa na Kamanda Kova mwenyewe aliyoyafanya ni kupunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu, yaliyokuwa yanaitikisa nchi hususani matukio ya wizi na uvamizi wa kwenye benki.
0 comments:
Post a Comment