Wednesday, June 22, 2016

Le Mutuz Nation muda mchache uliopita akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mh. Munasa kabla ya kupanda ndege ya Fastjet Airbus kurudi Dar, anategemewa kufika mchana huu.


Le Big Show akiwa na Mwanasheria Maarufu hapa nchini Alberto Msando, walipokuwa wakirejea kutoka Mbeya leo kwa ndege ya Fastjet.

Le Big Show akiwa na Waziri wa Zamani wa Awamu ya Nne Mh. Lau Masha wakitokea Mbeya kurudi Dar.

0 comments:

Post a Comment