Thursday, June 23, 2016

U1
Afisa Malalamiko wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. James Katubuka (kulia) akihudumia mteja katika Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 iliyofanyika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma leo.

U2Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Victor Gideon (kulia) akihudumia mteja katika Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma leo.
U3U4Wateja wakihudumiwa katika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016.
Picha na mpiga picha wetu

0 comments:

Post a Comment