Mhe.January Makamba Akiwasili chuoni hapo.
Mhe.January Makamba (MB),WaziriwaNchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) ameitumia SikuyaTarehe 25 /6/2016
kushiriki katika mahafali 24 yachuo cha bibliaVuga (VUGA BIBLE )kilichopo katika halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga Vilevile Mhe.January Makamba alipata fursa ya kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayofanywa na chuo hicho,
Pia aliupongeza uongozi wa chuo kwakutoa elimu mbalimbali kwa wananchi waishio karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.
Akitazama sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufuga samaki Akitazama sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufuga samaki.
Pichazotena Imani Selemani Nsamila
0 comments:
Post a Comment