Thursday, June 9, 2016

June 9, 2016  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na balozi wa Japan na kuongelea kuhusu Hospitali zote  Dar zikiwemo Amana, TMK, na Mwananyamala ambazo  hazina huduma za haraka pamoja na ICU.
Kwa siku hospitali hizo zinapokea wagonjwa 1800- 2000 na 50% ya wagonjwa wanahitaji huduma ya Emergency, na kutokuwa na huduma ya emergency kwa hospital hizo wagonjwa wengi wanakufa, sababu hiyo ndio imempelekea  balozi huyo  wa JapanMasaharu Yoshida  kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ofisini kwake na kufanya mazungumzo ya Kujenga Emergency Unity.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
U

0 comments:

Post a Comment