Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amekitaka Chuo cha magereza Kiwira kilichopo wilaya ya Rungwe KUWAANDAA askari watakasimamia MAGEUZI makubwa ndani ya jeshi la magereza na magereza yaliopo nchini
Hayo ameyasema leo katika ziara yake ya kikazi kutembelea Chuo hicho na kuongea na maofisa, askari na wanafunzi wa Chuo wapatao 1,390 . Katika nasaha zake amesema mbali ya majukumu waliobaki ya kuwalinda wafungwa magerezani ni vema wakaelewa kuwa jeshi hilo sasa lijielekeze ku jiimarisha kiuchumi kwa kuanzisha na kusimamia miradi mbalimbali itakayosaidia magereza kujitosheleza kwa chakula
Aidha Uwepo wa wafungwa magerezani utengenezaji kuwarekebisha tabia lakini pia kuwapatia ujuzi wafungwa kupitia kazi katika viwanda v na karakana za magereza












0 comments:
Post a Comment