Mkuu wa Mkoa wa mbeya aongoza siku ya mazingira duniani wilayani chunya leo
Amewataka wananchi mkoani Mbeya kutunza vyanzo vya Maji ni marufuku kuharibu, kufanya shughuli za kijamii kwenye vyanzo vya Maji hii ni kwa mujibu wa sheria ya m uhifadhi vyanzo vya Maji
Amewataka wananchi kupanda miti rafiki wa mazingira na vyanzo vya Maji na amesisitiza kuwa endapo tutaruhusu kuharibu mazingira ikiwemo kuchomo Moto misitu , kukata miti ovyo na uchimbaji madini usiozingatia uhifadhi wa mazingira ni wazi vyanzo vya Maji vitakauka na mvua zitapungua


0 comments:
Post a Comment