Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuwa ana wivu wa kupindukia kwa memba mwenzake ambaye ni mpenzi wake,
Emmanuel
Mkono ‘Nahreel’ wanaotamba na wimbo wao wa Kamatia Chini kwani kuna
kipindi huwa anapata wakati mgumu hasa warembo wanapokatiza mbele ya
jamaa huyo.
Aika
aliliambia Wikienda kuwa kila mwanadamu ana moyo na kuna watu wengine
wanaweza kuwaona kuwa wapo tu wala hawaoneani wivu lakini ukweli ni
kwamba ana wivu na mpenzi wake huyo.
“Watu wanadhani sina wivu lakini ninao kinoma lakini nagugumia kimoyomoyo,” alisema Aika
Chanzo:GPL

0 comments:
Post a Comment