Posted by Williammalecela.com on Friday, June 17, 2016
Namshukuru mungu kwa siku ya leo amekua mwema kwangu kwa kila jambo katika maisha yangu namshukuru sana mama angu nawashukuru watu wenye mioyo safi nikiwa namanisha ukiandika gigy ig hata youtube au google nna watu wanaonipa ushirikiano nna fan pages waliojitolea kwa mioyo yao kunitetea pale wanapoona nakosa hakikasema nawapenda sana team GiGy niwatuambao wanaweza kulifanya ninune nifurah pia nawashukuru fakepage kwa matusi yao kwangu cos bila waonisingekua gigy kunamda mtu anakutukana uku akiwa ajui nini unataka katika maisha yako Napenda kushukuru team nzima ya @choicefmtz na Boss luge unamchango mkubwa katika kipind kifup HAPPY BIRTDAY ✨🌹🌹🌹🌹🌹✨
0 comments:
Post a Comment