majuzi aliwashangaza mashabiki wake kwa kuvaa gauni la gunia kwenye hafla ya fasheni ya kampuni ya prodyuza ya Marvin Records.
….Akiwa amevaa gunia.
Bila
kujali macho na maneno ya watu, nyota huyo mwenye mtoto mmoja alitinga
katika hafla hiyo iliyokwenda kwa jina la One Lagos Concert iliyofanyika
eneo la Ikorodu akiwa ‘ng’aring’ari’ katika gauni lililoshonwa kutokana
na vipande vya magunia.
Katika
ukurasa wake wa Instragram amekuwa akiwauliza mashabiki wake iwapo
wanakubaliana au kupinga gauni hilo, majibu yao yamekuwa ni mengi mno –
ya wale wanaokubaliana na kivazi hicho na wale wanaokipinga.
0 comments:
Post a Comment