Wednesday, June 8, 2016




@BabuTale ni baba ana watoto wengi..Diamond, Madee na wengineo..Kama unajua kuhusu familia lazima watoto wengine watakua wanapendelewa tu..biscuit kila siku wanapewa wao tu"...hilo ni jibu la @TundaMantz akijibu swali kwamba mbona manager wako Tale anaweka attention kwa wasanii wake wengine na sio kama kwako. 

0 comments:

Post a Comment