Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda akiwa katika chumba maalum cha kuhifadhi nyaraka mbalimbali za wanachama wa mfuko huo leo mara baada ya kufanya ziara kutembelea Makao Makuu ya Mfuko huo leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akionyeshwa sehemu ya kuhifadhia kumbukumbu za wanachama mara baada ya kufanya ziara kutembelea Makao Makuu ya Mfuko huo leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Rehani Athumani leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Spika Mstaafu, Mama Anne Makinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Bernad Konga mara alipofanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya NHIF ya Kurasini leo jijini Dar es Salaam. Katika ziara hiyo fupi ya utambulisho
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga akimpa taarifa Mwenyekiti wa Bodi Mpya wa NHIF, Spika Mstaafu, Mama Anne Makinda mara alipofanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya NHIF ya Kurasini leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa Mfuko huo
0 comments:
Post a Comment