Hii
imekuwa video iliyosambaa zaidi mitandaoni baad aya kutolewa kama
tangazo kuwa msanii Diamond Playnumz anatoa kazi yake mpya aliyofanya na
wasanii wa kimataifa kutoka Nigeria P Square.
"My
People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be
the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu
kias gani....haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa
kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc
@peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa"
Hii
ni miongoni mwa collabo zilizosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa
bongo fleva,nyingini ni pamoja na collabo yake na Neyo na WizKid.

0 comments:
Post a Comment