Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 07, 2016
 |
| Le Mutuz Nation akiwa na Super Model Lamoda ikiwa ni siku chache tu baada ya kilio kikubwa cha ex wife wake aliyelalama kwamba Le Mutuz ametimiza Miaka 60 ikiwa ni kuwatishia wasichana wanaompenda The King kwamba ni Mzee. Maneno hayo yalimfanya Super Model Lamoda kutangaza Instagram kwamba ameamua kumpenda The King kwa sababu amesikia ana miaka 60. Ikafuatia Wasichana wengi wakiongozwa na Mwarabu kutangaza wapo radhi kuolewa na Mzee wa Miaka 60 kama ni kweli kuliko vijana wadogo. Pia alijitokeza Chagga Barbie kutoka USA akitangaza kutaka kuolewa na The King. |
Kaka poa moyo 60 is just a number tu, unaonekana kijana wa miaka 40 kabisa una nguvu zako wadada kama hivyo wamepanga mstari waswas wa nini endeleza libeneke lako la maisha haya ya exi na Mange achana nayo wanapata faida gani au wamepata faida gani is nothing. Good lucky lemutuzzz
ReplyDelete