Rapa Meek Mill ni mtu mwenye furaha kubwa baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake cha ndani cha miezi mitatu. Ameonekana akifurahia maisha ya uhuru akiwa na mpenzi wake, Nicki Minaj.
Wakati alipokuwa akitumikia kifungo hicho, kuna mambo tofauti yalijitokeza katika maisha yake kama
Meek alikuwa mjini Los Angeles na mpenzi wake Nicki pamoja na rafiki zake akifurahia kumaliza kifungo chake hicho. Hizi ni baadhi ya picha:
0 comments:
Post a Comment