Hizi picha kutoka kwenye Twitter ya Bet wakati mastaa wanaingia kwenye show ya BET usiku wa 26 June 2016, Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET 2016.
Tuzo zimefanyika Los Angeles, Marekani kwenye ukumbi wa Microsoft Theater.@diamondplatnumz walking the red carpet representing Tanzania #BETAwards16
#StoriBy JoeFahamu



0 comments:
Post a Comment