Thursday, June 9, 2016

breeeeezy-royality-001
Msanii Chris Brown ameonyesha tattoo ya mtoto wake wa kike kwenye mgongo wake. Tattoo hii imekamilika June 5 2016 na inaonyesha sura ya mtoto wake Royalty.

Chris Brown amekuwa ni mtu tofauti tangia amepata mtoto wake wa kwanza ambaye kwa sasa anamiaka 2 na tayari alitoa album ina jina Royalty.
Kupitia ukurasa wake wa instagram staa huyo ali-post picha inayoonyesha mchoro wa sura ya mwanae Royality na kuandika…. ‘I do what the f*** I want.’
breeeeeeezyyyyy-tatooo
tattooooo-breezy-009A

0 comments:

Post a Comment