Thursday, June 16, 2016

Hii imekuwa video iliyosambaa zaidi mitandaoni baad aya kutolewa kama tangazo kuwa msanii Diamond Playnumz anatoa kazi yake mpya aliyofanya na wasanii wa kimataifa kutoka Nigeria P Square.

Hii ni miongoni mwa collabo zilizosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa bongo fleva,nyingini ni pamoja na collabo yake na Neyo na WizKid.


0 comments:

Post a Comment