Tuesday, June 14, 2016


Baada ya video ya Nuh Mziwanda ‘Jike SHupa’ kutoka Ex wake ambaye ni msanii Shilole ameonyesha kukasirishwa na baadhi ya maigizo yaliyoonyeshwa kwenye video hio.
Video hii inaonyesha mwanamke aliyefanana na Shilole akifanya matendo ambaye awali Shishi aliyafanya kwa Nuh Mziwanda kama kupigana na kumpokonya simu.
Haya ni maneno makali ya Shilole kuhusu video hii.

0 comments:

Post a Comment