Wednesday, June 1, 2016


Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo
amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.

0 comments:

Post a Comment