Kwenye
mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali
kuanguka ni kawaida, ila kuamka baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe
ambayo kwa sasa Diamond
anafanya kwa kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni
bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa
Afrika Kusini.
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku nne simba Anaachia ile Mashine"

0 comments:
Post a Comment