“Ustaa ni mzigo wa mwiba ukiubeba lazima utaumia” Unakumbuka
Rapa Fid Q alishaimba hivyo ok well hii sio siri kwa watu wengi
maarufu ambao waliwahi kutamani kuishi kistaa na sasa wanajutia hali
hio.
WCB
staa Harmonize naye ameanza kujutia maisha ya ustaa kupitia ujumbe wake
instagram kuhusu mategemeo ya maisha ya umaarufu ni tofauti na
alivyowazia.
BOFYA HAPA KUONA MANENO YAKE
BOFYA HAPA KUONA MANENO YAKE

hii nmeipenda tukibahatika kukutana pale namanga lazima tupige picha ya ukumbusho.
ReplyDelete