STAA wa
Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ametoa kali ya aina
yake kwa kusema haoni tatizo kuchangia mwanamke na mwanaume mwenzake
kwani siyo dhambi kwake.
Akichonga
na gazeti hili, Nay alisema aliwahi kutoka kimapenzi na msanii wa
filamu, Jacqueline Wolper angali akijua kwamba amewahi kutoka na rafiki
yake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na hakuona kinyaa chochote kwani ni kitu
cha kawaida kwa upande wake.
“Mwanamke
ni kama halua kwani haina makombo hivyo kumchukua mwanamke ambaye
amewahi kuwa na mtu ninayemfahamu huwa sioni tatizo wala siyo dhambi
kwangu ni kitu cha kawaida kabisa kisichoweza kuumiza kichwa maana kila
mtu ana tabia zake,” alisema Nay.
0 comments:
Post a Comment