Na Hamida Hassan, Ijumaa
DAR
ES SALAAM: Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu,
tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford
amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo
nguo za ndani ‘makufuli’.
“Niseme
tu ukweli kwamba, napenda sana nguo za mtumba, hata makufuli. Huwa
nanunua, nazifua na kuziweka ‘sopusopu’ kisha navaa, sioni shida katika
hilo,” alisema Shamsa.
Serikali
iliwahi kupiga marufuku uuzwaji wa nguo za mitumba za ndani kama vile
makufuli, brazia na soksi lakini bado nguo hizo zimekuwa ni kimbilio kwa
watu wengi wakidai zina ubora na ni za kijanja zaidi.
NDO MAANA HAPENDEZI NA SIJAWAHI ONA AKIPENDEZA SHAMSA KWANI MITUMBA INAYOPENDEZA ZA KWA MATUMIZI YA OFISINI ILA KWA MTOKO NOOOOOOO
ReplyDelete