Wema Sepetu amefunguka
na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea
kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa
zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na kusema pia
hiyo ndo ilikuwa
sababu moja wapo ya yeye kutangaza sana kuwa anamimba kipindi kile
kwani ilikuwa nafasi yake ya kuwa prove wrong watu wanaosema kuwa ni
mgumba lakini mungu hakupenda iwe hivyo na mwisho mimba kuharibika....
Jamani Punguzeni Kidogo

0 comments:
Post a Comment