Tuesday, June 21, 2016

Baada ya Wema Sepetu kupost picha katika mtandao wake wa instagram akiwahimiza watu kumpigia kura Diamond Platnumz katika tuzo za BET na
kuibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii, malkia huyo wa filamu amefunguka mambo mengi.

0 comments:

Post a Comment