Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 09, 2016
Morning Guys... Kushoto ni with my Super Friend Super Bilionea Tarnil Shivacom anayemiliki almost Nusu ya majengo yote hapa Mjini Dar na kulia ni My Super Friend Mama Ntilie Binti Saidi at Uswazi Gerezanihahaha that is my life sijawahi kumtenga wala kumbagua mtu na infact sijawahi kumchagulia mtu Rafiki isipokuwa ukiamua kuwa Rafiki yangu na wa Adui yangu kwa wakati Mmoja ni uamuzi wangu kuamua kukuamini au kutokuamini tena lakini sitakuambia kitu ....now I want to say this with my very clear mind please take a note ni kwamba I know who I am na Mungu alinisaidia Kipaji cha kuwasoma na kuwaelewa sana binadam wengine kwa urahisi sana ninahitaji kusoma sentesi yako moja tu kujua una AKILI KUBWAZZ au NDOGO ....HOWEVER Nina tatizo moja kubwa sana linalowatesa sana watu wengi wanaonifahamu na wasionifahamu ni kwamba MIMI NI BINADAM MGUMU SANA KUNIELEWA unahitaji kuwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiri KUNIELEWA ndio maana hata my ex wife anahangaika mpaka Leo na Mimi ni kwa sababu Miaka yote ya kuishi na Mimi hakufanikiwa KUNISOMA vizuri so mpaka Leo na yeye ni mgeni na Mimi ....you know why? ....life experience ilinifundisha kuwa muangalifu sana infact Mungu kwenye Biblia anasema....... "GUIDE YOUR HEART CAREFULLY, CAUSE ALL ISSUES OF YOUR LIFE COMES FROM YOUR HEART"....chunga sana moyo wako sababu ishus zako zote za Maisha zinaanzia kwenye Moyo wako ninaweza ninakufanya unanijua and then nikakushangaza na maamuzi magumu mpaka ukawashindwa kuamini kuwa ni kweli unanifahamu au umekosea ....halafu Sheria ya Maisha ni kwamba Shetani huwa hajui weakness yako Binadam so atakujaribu jaribu kila kona ya Maisha yako kuona wapi upo weak sana then anakazia hapo hapo mpaka aku destroy ni kwa sababu ninajua hilo ndio maana huwa simpi nafasi Shetani ya kujua my weakness kwa urahisi sio kwamba sina hapana Mimi ni Mpungufu kama bin adam wote ila ninajilinda Shetani asiniingie kwa urahisi ...now sipendi Mind Games kwa sababu I am the best of it cause kwenye that area nitakuumiza kushinda mind games ni lazima uwe good at kuushinda Moyo ambayo unahitaji kuwa na AKILI KUBWAZZZ so usinichukulie poa cause I am not! UTAUMIA nitakuumiza nikiwa nacheka! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment