Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 14, 2016
 |
| The King of All Bongo Social Media Network juzi akitoa hotuba ya Shukrani kwa Mmiliki wa GSM Group of Companies Mr. Ghalibu, ambaye ndiye Mmmilikiwa GSM Foundation baada ya kumkabidhi zawadi ya simu ya aina ya iPhone6 yenye gharama ya hela za Tanzania Shilingi Millioni 2.5 kwa kazi zake za Social Media ambazo mara kwa mara amekuwa mdau mkubwa wa kutangaza kazi za GSM Foundation. Le Mutuz Nation amekuwa akipewa simu na makampuni makubwa kama Vodacom, Airtel na Huawei simu za zawadi kutokana na kazi zake kukubalika sana kwenye Social Media. Kupokea huko kwa simu mpya kulimfanya Le Big Show kutangaza kugawa simu yake ya Mate7 Huawei yenye thamani ya Tsh. Millioni 1. |
0 comments:
Post a Comment