Tuesday, June 21, 2016

 
Le Mutuz Nation aliongoza Wananchi wa Tunduma Mkoani Mbeya kumzika Mama yake mzazi aliyefariki Jumamosi iliyopita na kuzikwa leo Makaburi ya Chihanga Nakonde mpakani mwa Tanzania na Zambia 










2 comments:

  1. Undugu wa kuchangia baba au mama ni majanga matupu katika hii dunia, ni afadhali kuwa wewe kama wewe ndugu atakupenda wakati wa raha tu. Pole sana kaka.

    ReplyDelete
  2. Kazi ya Mungu haina makosa, Mungu akupe subira na uvumilivu Le Mutuz kwa kuondokewa na Mama yako mpendwa

    ReplyDelete