Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 16, 2016
|
|
KWA familia zetu za sasahivi swala hili limekuwa la kawaida kwa dogo kama huyu kufanya vitendo vya aina hii.
Hebu turudi enzi za mababu zetu nadhani heshima ilifuata mkondo wake. Sasa hapa dogo ana taka kuona nini?Na ili iweje
|
0 comments:
Post a Comment