Thursday, June 23, 2016

J1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano  na Uchukuzi, Edwin Ngonyani (kushoto)na Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Profesa  Faustine Kamuzora (kulia)  baada ya mazungumzo kati ya wizara hiyo na Viongozi wa  kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel, Sunil Colaso ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji  (wapili kushoto) na Beartice Singano.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment