Saturday, July 16, 2016



Waziri wa Mambo ya ndani Mhe Mwigulu Nchemba ,leo hii amefanya ziara nyumbani kwa msemani wa Simba,Haji Manara kumjulia hali.

Nchemba ambaye ni mwanamichezo,huku ikisemekana ni shabiki wa kufa wa klanu bingwa ya Tanzania Bara,Yanga,alifika nyumbani kwa Manara majira ya mchana ambapo pamoja na mambo mengine alimpa pole Manara kwa kuugua ugonjwa wa macho ambao umemfanya kusafiri hadi India kwa ajili ya matibabu.



0 comments:

Post a Comment